Hakuna Jinsi

Ndoa za Utotoni na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ndani ya Tanzania

Ripoti hiyo ya kurasa 75 imenukuu jinsi ndoa za utotoni zinavyozuia upatikanaji wa elimu kwa wasichana, na kuwaweka hatarini kufanyiwa unyanyasaji na ukatili – ikiwemo kubakwa ndani ya ndoa- na hatari ya afya ya uzazi. Human Rights Watch imepima mapengo kwenye mfumo wa hifadhi ya mtoto ndani ya Tanzania, ukosefu wa hifadhi kwa wahanga wa ndoa za utotoni, na vipingamizi vinavyowakabili wasichana wakijaribu kupata haki, pamoja na mapungufu kwenye sheria zilizopo na mipango ya serikali kupambana na ndoa za utotoni.
Region / Country